بسم الله الرحمن الرحيم

MAJINI

MAUDHUI YA KILA MAKALA

Sheikh Mustafa Mohamed Kihago

HOME

MAJINI 1 : Uhakika wa kuwepo kwa majini

MAJINI 2 : Ni nini Majini, wameumbwa na mada gani, lini wameumbwa, na wako aina ngapi?

MAJINI 3 : Je Majini wana miili, majina, uwezo wa kujibadilisha, hufa? wanatembeaje? Muda gani wanatapanyika mashetani? Kiti cha  enzi cha Iblis, mayoe ya Iblis na mambo aliyotangulia kufanya

MAJINI 4 : Je Iblis ni katika Majini au Malaika?

MAJINI 5 : Je kulikuwepo na Majini mitume / manabii? Utume wa Mtume Muhammad (SAW) ni kwa Majini na Wanadamu wote, Mila na madhehebu ya Majini, je Majini wanalipwa kutokana na vitendo vyao?

MAJINI 6 : Maisha ya Majini ya kijamii ( Ndoa zao, ndoa kati ya Majini na watu )

MAJINI 7 : Masuala kuhusiana na ndoa kati ya Majini na watu, chakula cha Majini

MAJINI 8 : Makazi ya majini, vipando vyao, elimu na maarifa waliyonayo

MAJINI 9 : Sababu kuu ya uadui kati ya Iblis na Mwanadamu, maasi yanayompendeza Iblis zaidi